Danieli 2:4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Wakaldayo wakamjibu mfalme kwa lugha ya Kiaramu:*+ “Ee mfalme, na uishi milele. Tusimulie ndoto yako sisi watumishi wako, nasi tutakuambia maana yake.”
4 Wakaldayo wakamjibu mfalme kwa lugha ya Kiaramu:*+ “Ee mfalme, na uishi milele. Tusimulie ndoto yako sisi watumishi wako, nasi tutakuambia maana yake.”