-
Danieli 2:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Msiponiambia ndoto yangu, adhabu yenu nyote ni moja tu. Lakini mmekubaliana kunidanganya na kunihadaa, mkitumaini kwamba hali itabadilika. Basi niambieni ndoto hiyo, nami nitajua kwamba mnaweza kueleza maana yake.”
-