28 Lakini kuna Mungu mbinguni ambaye ni Mfunuaji wa siri,+ naye amekujulisha wewe Mfalme Nebukadneza mambo yatakayotukia katika kipindi cha mwisho cha zile siku. Hii ndiyo ndoto yako, na haya ndiyo maono yaliyokujia kichwani ulipokuwa umelala kitandani: