-
Danieli 2:46Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
46 Ndipo Mfalme Nebukadneza akaanguka chini kifudifudi mbele ya Danieli na kumpa heshima kubwa. Naye akaagiza apewe zawadi na kufukiziwa uvumba.
-