-
Danieli 3:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Basi watu wote waliposikia sauti ya pembe, zumari, zeze, kinubi cha pembe tatu, kinanda, zumari-tete, na ala nyingine zote za muziki, watu wa makabila, mataifa, na lugha zote wakaanguka chini na kuiabudu sanamu ya dhahabu ambayo Mfalme Nebukadneza alikuwa amesimamisha.
-