-
Danieli 3:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Basi mtakaposikia sauti ya pembe, zumari, zeze, kinubi cha pembe tatu, kinanda, zumari-tete, na ala nyingine zote za muziki, mkiwa tayari kuanguka chini na kuabudu sanamu ambayo nimeitengeneza, ni sawa. Lakini mkikataa kuabudu, mtatupwa mara moja katika tanuru lenye moto mkali. Na ni mungu gani anayeweza kuwaokoa kutoka mikononi mwangu?”+
-