-
Danieli 3:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Akawaagiza wanaume fulani hodari katika jeshi lake wawafunge Shadraki, Meshaki, na Abednego na kuwatupa katika tanuru hilo lenye moto mkali.
-