-
Danieli 3:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Ndipo Mfalme Nebukadneza akaogopa, akainuka haraka na kuwauliza maofisa wake wakuu: “Je, hatukuwafunga wanaume watatu na kuwatupa ndani ya moto?” Wakamjibu mfalme: “Naam, Ee mfalme.”
-