-
Danieli 3:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Mfalme akasema: “Tazama! Naona wanaume wanne wakitembeatembea katikati ya moto wakiwa huru, nao hawajapatwa na madhara, na yule wa nne anaonekana kama mwana wa miungu.”
-