-
Danieli 5:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Basi wakaleta vyombo vya dhahabu vilivyochukuliwa kutoka katika hekalu la Mungu kule Yerusalemu, na mfalme pamoja na wakuu wake, masuria wake na wake zake wadogo wakavitumia kunywea divai.
-