-
Danieli 5:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Malkia aliposikia maneno ya mfalme na wakuu wake, akaingia kwenye ukumbi wa karamu. Malkia akasema: “Ee mfalme, uishi milele. Usiruhusu mawazo yako yakuogopeshe, wala usiruhusu uso wako ubadilike rangi.
-