-
Danieli 5:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Ndipo Danieli akamwambia mfalme: “Si lazima unipe zawadi zako, unaweza kuwapa wengine zawadi hizo. Hata hivyo, nitakusomea maandishi haya na kukuambia maana yake.
-