-
Danieli 7:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Nikamkaribia mmoja wa wale waliokuwa wamesimama pale ili nimuulize maana halisi ya mambo hayo. Basi akanijibu na kunieleza maana ya mambo hayo.
-