-
Danieli 8:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Nikamwona akimkaribia yule kondoo dume, naye alikuwa amejawa na uchungu mwingi kumwelekea. Akampiga na kumwangusha chini huyo kondoo dume na kuzivunja pembe zake mbili, na kondoo dume huyo hakuwa na nguvu za kustahimili. Basi akamwangusha ardhini kondoo dume huyo na kumkanyaga-kanyaga, na hakukuwa na yeyote wa kumwokoa kutoka katika nguvu zake.*
-