-
Danieli 8:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Mimi, Danieli, nilipokuwa nikiona maono hayo na kujaribu kuyaelewa, kwa ghafla nikamwona mtu fulani aliyeonekana kama mwanamume amesimama mbele yangu.
-