-
Danieli 11:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Na mmoja kutoka katika chipukizi la mizizi yake atasimama katika cheo cha mfalme huyo, na mfalme huyo atalijia jeshi na kushambulia ngome ya mfalme wa kaskazini naye atachukua hatua dhidi yao na kushinda.
-