Danieli 11:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Mfalme huyo atakuja Misri pamoja na miungu yao, sanamu zao za chuma,* na vitu vyao vinavyotamanika* vya fedha na vya dhahabu, pamoja na mateka. Kwa miaka kadhaa hatamshambulia mfalme wa kaskazini, Danieli Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 11:8 dp 220-221 Danieli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 11:8 Unabii wa Danieli, kur. 220-221
8 Mfalme huyo atakuja Misri pamoja na miungu yao, sanamu zao za chuma,* na vitu vyao vinavyotamanika* vya fedha na vya dhahabu, pamoja na mateka. Kwa miaka kadhaa hatamshambulia mfalme wa kaskazini,