-
Danieli 11:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 “Na mfalme wa kaskazini atarudi na kukusanya umati mkubwa zaidi kuliko ule wa kwanza; na mwishoni mwa zile nyakati, baada ya miaka kadhaa, kwa hakika atakuja na jeshi kubwa na mali nyingi.
-