Danieli 11:32 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 32 “Na wale wanaotenda uovu dhidi ya lile agano, atawaongoza kwa maneno ya ujanja* waingie katika uasi imani. Lakini watu wanaomjua Mungu wao watakuwa imara na kutenda kwa mafanikio. Danieli Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 11:32 dp 272-273 Danieli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 11:32 Unabii wa Danieli, kur. 272-273 Mnara wa Mlinzi,11/1/1993, kur. 16-17
32 “Na wale wanaotenda uovu dhidi ya lile agano, atawaongoza kwa maneno ya ujanja* waingie katika uasi imani. Lakini watu wanaomjua Mungu wao watakuwa imara na kutenda kwa mafanikio.