Danieli 11:33 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 33 Na wale walio na ufahamu+ miongoni mwa watu watawasaidia wengi kupata uelewaji. Nao* watakwazwa kwa upanga na kwa mwali wa moto, kwa kutekwa na kwa kuporwa, kwa siku kadhaa. Danieli Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 11:33 dp 272-273 Danieli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 11:33 Unabii wa Danieli, kur. 272-273 Mnara wa Mlinzi,11/1/1993, kur. 16-177/1/1987, uku. 15
33 Na wale walio na ufahamu+ miongoni mwa watu watawasaidia wengi kupata uelewaji. Nao* watakwazwa kwa upanga na kwa mwali wa moto, kwa kutekwa na kwa kuporwa, kwa siku kadhaa.