-
Danieli 11:37Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
37 Hatamjali Mungu wa baba zake; wala hatajali tamaa ya wanawake wala hatajali mungu mwingine yeyote, lakini atajitukuza mwenyewe juu ya kila mtu.
-