-
Hosea 2:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 La sivyo nitamvua nguo abaki uchi kama alivyozaliwa,
Nitamfanya awe kama nyika,
Nitamfanya awe nchi isiyo na maji,
Na kusababisha afe kwa kiu.
-