Hosea 4:3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 3 Ndiyo sababu nchi itaomboleza+Na kila mkaaji nchini atadhoofika;Wanyama wa mwituni na ndege wa angani,Hata samaki wa baharini, wataangamia. Hosea Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 4:3 Mnara wa Mlinzi,11/15/1986, uku. 11
3 Ndiyo sababu nchi itaomboleza+Na kila mkaaji nchini atadhoofika;Wanyama wa mwituni na ndege wa angani,Hata samaki wa baharini, wataangamia.