Hosea 4:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Basi mtajikwaa kweupe kabisa wakati wa mchana,Na nabii atajikwaa pamoja nanyi, kana kwamba ni usiku. Nami nitamnyamazisha* mama yenu.
5 Basi mtajikwaa kweupe kabisa wakati wa mchana,Na nabii atajikwaa pamoja nanyi, kana kwamba ni usiku. Nami nitamnyamazisha* mama yenu.