Hosea 5:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Waefraimu walipoona ugonjwa wao, na watu wa Yuda kidonda chao,Waefraimu walienda Ashuru+ na kutuma wajumbe kwa mfalme mkuu. Lakini hakuweza kuwaponya,Wala hakuweza kuponya kidonda chenu.
13 Waefraimu walipoona ugonjwa wao, na watu wa Yuda kidonda chao,Waefraimu walienda Ashuru+ na kutuma wajumbe kwa mfalme mkuu. Lakini hakuweza kuwaponya,Wala hakuweza kuponya kidonda chenu.