-
Hosea 6:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Tutamjua, tutajitahidi kumjua Yehova.
Kuja kwake ni hakika kama mapambazuko;
Atakuja kwetu kama mvua kubwa,
Kama mvua ya masika inayolowesha dunia.”
-