-
Hosea 6:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 “Niwafanyie nini, enyi Waefraimu?
Niwafanyie nini, enyi watu wa Yuda,
Kwa maana upendo wenu mshikamanifu ni kama ukungu wa asubuhi,
Kama umande unaotoweka haraka.
-