Hosea 10:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Lakini mmelima uovu,Mmevuna ukosefu wa uadilifu,+Nanyi mmekula matunda ya udanganyifu;Kwa sababu mmetumaini njia yenu wenyewe,Mmewatumaini mashujaa wenu wengi. Hosea Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 10:13 jd 158 Hosea Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 10:13 Ufahamu, uku. 649 Siku ya Yehova, kur. 157-158
13 Lakini mmelima uovu,Mmevuna ukosefu wa uadilifu,+Nanyi mmekula matunda ya udanganyifu;Kwa sababu mmetumaini njia yenu wenyewe,Mmewatumaini mashujaa wenu wengi.