Hosea 11:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Sitamwaga hasira yangu inayowaka. Sitawaangamiza tena Waefraimu,+Kwa maana mimi ni Mungu, mimi si mwanadamu,Mtakatifu aliye miongoni mwenu;Nami sitawashambulia kwa hasira.
9 Sitamwaga hasira yangu inayowaka. Sitawaangamiza tena Waefraimu,+Kwa maana mimi ni Mungu, mimi si mwanadamu,Mtakatifu aliye miongoni mwenu;Nami sitawashambulia kwa hasira.