-
Hosea 13:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Kwa hiyo watakuwa kama ukungu wa asubuhi,
Kama umande unaotoweka mapema,
Kama makapi yanayopeperushwa na dhoruba kutoka kwenye uwanja wa kupuria,
Na kama moshi unaotoka katika bomba la moshi paani.
-