-
Yoeli 1:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Limeharibu mzabibu wangu na kuacha mtini wangu ukiwa kisiki,
Limebambua magamba yote na kuyatupa pembeni,
Na kuacha matawi yake yakiwa meupe.
-