-
Yoeli 1:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Wakulima wamefadhaika, watunzaji wa mizabibu wanapiga mayowe,
Kwa sababu ya ngano na shayiri;
Kwa maana mavuno ya shambani yameharibika.
-