Yoeli 1:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Mbegu* zimenyauka chini ya sepetu zao. Maghala yamebaki ukiwa. Maghala ya nafaka yamebomolewa, kwa maana nafaka imekauka.
17 Mbegu* zimenyauka chini ya sepetu zao. Maghala yamebaki ukiwa. Maghala ya nafaka yamebomolewa, kwa maana nafaka imekauka.