-
Yoeli 1:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Hata mifugo inalia kwa uchungu!
Makundi ya ng’ombe yanatangatanga huku na huku, kwa maana hayana malisho!
Na hata makundi ya kondoo yamepata adhabu.
-