-
Yoeli 1:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Hata wanyama wa mwituni wanasubiri kwa hamu uwasaidie,
Kwa sababu vijito vya maji vimekauka
Na moto umeteketeza kabisa malisho nyikani.”
-