-
Yoeli 2:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Wanashambulia kama mashujaa,
Wanapanda ukuta kama wanajeshi,
Kila mmoja wao anaendelea kufuata mwendo wake mwenyewe,
Nao hawatoki katika njia zao.
-