-
Amosi 5:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 ‘Bikira, Israeli, ameanguka;
Hawezi kuinuka tena.
Ameachwa peke yake katika ardhi yake mwenyewe;
Hakuna yeyote wa kumwinua.’
-