Amosi 5:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Yule aliyeumba kundi la nyota la Kima* na kundi la nyota la Kesili,*+Yule anayebadili kivuli kizito kuwa asubuhi,Yule anayefanya mchana uwe na giza kama usiku,+Yule anayeyaita maji ya bahariIli ayamwage kwenye nchi kavu+—Yehova ndilo jina lake. Amosi Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 5:8 w09 1/1 16-17 Amosi Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 5:8 Mnara wa Mlinzi,1/1/2009, kur. 16-17
8 Yule aliyeumba kundi la nyota la Kima* na kundi la nyota la Kesili,*+Yule anayebadili kivuli kizito kuwa asubuhi,Yule anayefanya mchana uwe na giza kama usiku,+Yule anayeyaita maji ya bahariIli ayamwage kwenye nchi kavu+—Yehova ndilo jina lake.