Amosi 5:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Kwa sababu mnamdai maskini kodi ya* shambaNanyi mnachukua nafaka yake kama ushuru,+Hamtaendelea kuishi katika nyumba mlizojenga kwa mawe yaliyochongwa+Wala hamtakunywa divai kutoka katika mashamba bora ya mizabibu mliyopanda.+ Amosi Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 5:11 “Kila Andiko,” uku. 149
11 Kwa sababu mnamdai maskini kodi ya* shambaNanyi mnachukua nafaka yake kama ushuru,+Hamtaendelea kuishi katika nyumba mlizojenga kwa mawe yaliyochongwa+Wala hamtakunywa divai kutoka katika mashamba bora ya mizabibu mliyopanda.+