-
Amosi 5:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Itakuwa kama mtu anayemkimbia simba, kisha anakutana na dubu,
Na anapoingia nyumbani mwake na kuuegemeza mkono wake ukutani, anaumwa na nyoka.
-