Amosi 9:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 ‘Kwa maana tazameni! Ninatoa amri,Nami nitaichekecha nyumba ya Israeli miongoni mwa mataifa yote,+Kama mtu anavyochekecha nafaka kwa chujio,Na hakuna kijiwe hata kimoja kinachoanguka chini.
9 ‘Kwa maana tazameni! Ninatoa amri,Nami nitaichekecha nyumba ya Israeli miongoni mwa mataifa yote,+Kama mtu anavyochekecha nafaka kwa chujio,Na hakuna kijiwe hata kimoja kinachoanguka chini.