Obadia 16 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 16 Kwa maana kama mlivyokunywa divai kwenye mlima wangu mtakatifu,Ndivyo mataifa yote yatakavyoendelea kunywa hasira yangu kama divai.+ Yatakunywa na kumeza hasira yangu,Nayo yatatoweka kana kwamba hayajawahi kuwepo.
16 Kwa maana kama mlivyokunywa divai kwenye mlima wangu mtakatifu,Ndivyo mataifa yote yatakavyoendelea kunywa hasira yangu kama divai.+ Yatakunywa na kumeza hasira yangu,Nayo yatatoweka kana kwamba hayajawahi kuwepo.