-
Yona 1:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Wakamuuliza: “Tafadhali tuambie, ni nani anayetusababishia taabu hii? Unafanya kazi gani, na unatoka wapi? Unatoka nchi gani, na wewe ni mtu wa kabila gani?”
-