-
Yona 1:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Waliposikia hayo, wanaume hao wakazidi kuogopa, wakamuuliza: “Umefanya nini?” (Watu hao wakagundua kwamba alikuwa akimkimbia Yehova, kwa sababu Yona aliwaambia.)
-