Yona 3:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Watu wa Ninawi wakamwamini Mungu,+ nao wakatangaza watu wafunge na kuvaa magunia, kuanzia aliye mkubwa zaidi hadi aliye mdogo zaidi. Yona Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 3:5 w09 4/1 15 Yona Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 3:5 Igeni, kur. 119-120 Mnara wa Mlinzi,4/1/2009, uku. 15
5 Watu wa Ninawi wakamwamini Mungu,+ nao wakatangaza watu wafunge na kuvaa magunia, kuanzia aliye mkubwa zaidi hadi aliye mdogo zaidi.