Mika 1:4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Milima itayeyuka chini yake,+Na mabonde yatagawanyika*Kama nta mbele ya moto,Kama maji yanayomwagwa kwenye mteremko mkali. Mika Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 1:4 jd 31; w03 8/15 11 Mika Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 1:4 Siku ya Yehova, kur. 31-32 Mnara wa Mlinzi,8/15/2003, uku. 11
4 Milima itayeyuka chini yake,+Na mabonde yatagawanyika*Kama nta mbele ya moto,Kama maji yanayomwagwa kwenye mteremko mkali.