-
Nahumu 2:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Ngao za wanaume wake hodari zimetiwa rangi nyekundu,
Mashujaa wake wamevaa nguo nyekundu.
Vyuma vya magari yake ya vita vinawakawaka kama moto
Katika siku anayojitayarisha kwa ajili ya vita,
Na mikuki ya miberoshi inapotikiswa.
-