-
Nahumu 2:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Magari ya vita yanaendeshwa kwa kasi sana barabarani.
Yanakimbia huku na huku katika viwanja vya mji.
Yanang’aa kama mienge inayowaka na kumweka kama radi.
-