-
Habakuki 1:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Kwa nini unanifanya nione mambo mabaya?
Na kwa nini unavumilia ukandamizaji?
Kwa nini uharibifu na ukatili uko mbele yangu?
Na kwa nini ugomvi na mizozo inaongezeka?
-