-
Habakuki 3:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Ingawa huenda mtini usichanue,
Na huenda mizabibu isiwe na matunda;
Ingawa huenda mizeituni isizae,
Na mashamba yasiwe na mazao yoyote;
Ingawa huenda mazizi yasiwe na kondoo,
Na mabanda yasiwe na ng’ombe;
-